DOGO JANJA & IRENE UWOYA
Dogo janja hatimaye apata jiko. hii ni habari iliyomake head line katika mipaka ya tanzania na afrika mashariki kiujumla kwa msaniiwa mziki wa kizazi kipya anayefahamika kama Dogo Janja kumuoa msanii wa tasnia ya filamu ambaye kiharisia mwanamke kamzini mme miaka kadhaa . lakini watu wa dini husika wamesema kuwa makubariano yao ndio muhimili wa maisha yao na mumnu awe nao katika maisha haya mapya ya ndoa